ID: com.apps.stonek.zinazosomwa
Version: 4.1.0
Size: 0 Mb
Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania Screenshots
How to install Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania apk for android
- For Android 4.0 or higher:Please to Settings, look down to Security, and select Unknown sources. Choosing this choice will enable to install apps download from the internet.
- For devices running on lower Android 4.0:
Please go to Settings - open the Applications option, and select Unknown sources, click OK on the popup alert.
Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania Description
Zinazosomwa ni app inayokusogezea habari unazopenda kuzisoma kutoka vyanzo vikubwa mbali mbali Tanzania. Kwa mfano kama wewe unapenda tu kupata habari za michezo na burudani, basi app hii itakupa habari za michezo na burudani tu! Kama unapenda habari za siasa basi itakusogezea habari za siasa tu. Vileviel kama unapenda habari zote zile basi itakuletea habai zote!Pia app hii inaweza kukwambia mambo gani yanavuma Tanzania na pia inaweza kukuonesha habari zipi zinasomwa sana katika siku.
Baadhi ya vyanzo vya habari ni Millard Ayo, Mwananchi, Mzlaendo, BBC Swahili, Channel 10, Dar24, Habari Leo, Mwana Spoti, Global Publishers, Mwanahalis Online, Raia Mwema, Swahili Times, VOA Swahili, Swahili Hub, Swahili Times, Perfect255, Shaffih Dauda, Udaku Specially, Dizzim Online, Bongo 5, 8020 Fashions Blog, Full Shangwe Blog, Issa Michuzi, Mitandaoni, Mjengwa Blog, Mtembezi, Habari Kwanza, Ghafla Tanzania, Dewji Blog, Kwetu Tanzania na zinginezo nyingi tunazoendelea kuziongeza
Pia app hii inaruhusu watumiaji wake kunzisha mijadala na kuchangia maoni juu ya mijadala hiyo. Pia watumiaji wanaweza kutoa maoni juu ya habari fulani waliyoisoma.
App hii inakusanya habari kila baada ya dakika moja. Hivyo watumiaji hawatapitwa na habari pindi itakapowekwa kwenye chanzo husika.
App hii inawanufaisha wamiliki wa vyanzo vya habari ama waandishi kwa kuwa inaongeza idadi ya watu watakaosoma habari husika kwani habari zote zinasomwa kwenye kurusa zake lakini ndani ya Zianazosomwa App.
*****************************************************
Zinazosomwa is an app which corrects news from top sources in Tanzania and lets you read only the news that matter to you. For example if you just want to read news on sports and entertainment, the app will give you news on sports and entertainment only! If you like politics then it will give you news about politics. Also if you want read everything then it will give you everything
With all that, the app can tell you which topics are trending in Tanzania and which news are read most within a day.
What's new in Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 4.1.0
- Tatizo la video na udio kuendelea kucheza limelekebishwa- Commenting on News
- Discussion Forum
- Maboresho ya kimuonekano
- Marekebisho ya ndani kwa ndani
**********
- Audio and Video playing problems have been fixed
- Commenting on News
- Discussion Forum
- Improved User Interface
- Internal bug fixes
Download Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 4.1.0 APK
Search terms:
How to mod Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 4.1.0 apk for bluestacks
How to use Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania unlimited apk
How to mod Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania 4.1.0 apk
How to get Zinazosomwa: Habari Zinazovuma Tanzania unlimited apk